lørdag 22. desember 2018

Greetings 07 - Marit og Leif Thingbø


Kwa wapendwa wote wa NWD.

Jina la Yesu libarikiwe kwanza!
Pia napenda kuwatakia kila la kheri na baraka za Mungu katika kuadhimisha miaka 40 tangu kazi ya injili ilipoanza kule Chesta.
Jitihada zenu za kueneza ujumbe wa Neno la Mungu hazijaenda bure.
Ningependa kuwatia moyo tena kwa kutumia 2. Tim 1;6-7. Uichochee karama ya Mungu...
Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya kiasi.

Tena 2 Tim 4;5 ...timiliza huduma yako.

Nya kusöyönokwa Töroröt!

Kama Poghon nko baboto Poghon
Mchg Leif

Ingen kommentarer: